Mamilioni ya samaki waliokufa wamepatikana kwenye ukingo wa mto wa Keelung ,Taiwan nchini China.

Mamilioni ya samaki waliokufa wamepatikana kwenye ukingo wa mto wa Keelung ,Taiwan nchini China.
Kulingana na idara ya kulinda mazingira ya Taipei joto kali lilipunguza kiwango cha oksijeni ndani ya maji na hivyo kusababisha kufa kwa samaki hao.
Kumekuwa na joto kali kwa siku 16 hadi tarehe 29 Agosti likifikia nyuzi 36.

CHANZO : CRI KISWAHI

Maoni