FAINAL MASHINDANO YA REDE CUP 2017 YAZIKUTANISHA WAZALENDO VS KUJIAMINI

Michuano ya REDE CUP ambayo yameandaliwa na UVCCM TAWI LA MSUFINI sasa yafikia hatua ya fainal ambayo itazikutanisha timu ya WAZALENDO dhidi ya KUJIAMINI mchezo huu unao tarajia kufanyika tarehe 03.12.2017 kwenye uwanja wa shule ya msing chamazi majira ya saa kumi jioni (10),kwelekea kwenye fainal hii shabanirapwiblogsport.com imezungumza na Mwenyekiti wa UVCCM kata ya chamazi Msimamizi wa shughuli zote za jumuiya kata nzima ya chamazi Ndg NASRI MKAPIRA ili kufahamu maandalizi ya fainal iyo Nukuu: "Tumejipanga vizuri kuelekea kwenye mchezo uwo wa fainali sisi tukiwa kama waandaji wa mashindano aya  ya Red Cup chini ya Mwenyekiti wa Uvccm tawi la Msufini Ndgu Ibrahim Mtumwa pamoja na Katibu wa Uvccm tawi la Msufini  Ndg Ally Yasini Andarus tupo imara kuakisha mchezo unaenda kama jinsi ulivyo pangwa,zawadi za washindi ziko tayali,ombi langu kwa wakazi wa mbagara,chamazi na wana dsm kwa ujumla tunawakaribisha sana, usalama utakuwepo wa kutosha kabisa ivyo watu waje kwa wing kuangalia na kushuhudia burudani hii pia tunawakaribisha wadau na wapenzi wote wa michezo" shabanirapwiblogsport.com tulijitaidi kuwatafuta baada ya wachezaji pamoja na viongozi wa team hizi ili kufahamu maandalizi rakini atukufanikiwa kuwapata kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu.

Maoni