AINA 8 ZA UPENDO HIZI HAPA

Sote tunahitaji upendo zaidi ya aina moja kwa hio jaribu kulea zaidi hizi tatu.
Post hii inawahusu wale waliovunjika moyo,wenye huzuni, na wale waliopoteza mapenzi, na wale ambao hawajawahi kupoteza upendo.
Wapo wale waliopoteza mapenzi kwa kufiwa, na kweli wanahuzunika, kwa hio kwa ndani ya moyo nimetambua kuwa watakuwa na huzuni. Inaweza kuwa uliachwa bila kielelezo , na unaendelea kuwa na huzuni ya ki tofauti, unahisi kama kusalitiwa na kuachwa, na ulikuwa na upendo, na upendo huo umekukataa.
Hata kama maumivu yanaweza kuepukwa , nafikiri upendo ni gharama . ingawa kifo ni matokeo ya maisha. Lakini bado kuna funzo la maisha nalo ni , mapenzi na kifo.
Lakini post hii sio tu kwa ajili ya maumivu na kupotelewa. Tuna mengi kuliko hayo, na hii ni kweli.
Hii ni kutanua mwonekano  katika upendo
Wakati mwingine ukifahamu kuwa kuna zaidi ya aina za upendo itamsaidia yule ambae yupo kwenye huzuni . huenda aina moja ya upendo inaweza kuwa imeondoka, ambao ni wa kipekee sana. Huo hauwezi kufuta aina zingine zilizopo. Ni muhimu tu kuelewa kuwa upo upendo mwingine wa kukupa furaha. Ni kama bustani yako kupoteza mti mmoja, huwezi kuua bustani kwa sababu bado kuna miti mingi unaweza kuifurahia. Kama maua, na hapa kuna baadhi ya sehemu unaweza kuendelea kulea.
Katika kutafuta maneno ya kigreek kwa ajili ya tofauti ya aina ya upendo hasa kwa wanandoa.
Moja kati ya hizo ni upendo wa Eros, ( this is sexual passion and desire)
Unafahamu ule upendo ambao unahisi kama woga fulani mpaka tumbo kutetemeka? Au upendo usio na hatia? Huo unaitwa Ludus. Huu upo kwa ajili ya romantic partiner.
Kuongelea urafiki, kuna urafiki wa upendo unaitwa Philia , unajua watu walio marafiki , ambao huonekana kama ndugu. Unaweza kuwa nao huu upendo hata kwa mwenza wako.
Kuna upendo mwingine ambao nafikiri watu wote wanahitaji kufahamu na kuona wanachotafuta ni
Pragma-— mapenzi ya uelewa wa muda mrefu.upendo usiokwisha, na huu ni upendo wa wazazi na watoto wao, ndoa na urafiki.
Upendo wa ndani zaidi unaitwa Storge, ambao ni upendo wa familia unaoonyesha upendo usio na sababu ya kipengele cha upendo wa familia, ni dhamana ya familia kutokana na hadhi zetu .
Halafu Kuna Agape ,  ni upendo wa ulimwengu, wa kila mtu, kwa ajili ya kuondoan vita , hata kuna nyimbo zilizoimbwa kwa pamoja kutakia amani ulimwengu. Yesu alielezea kanuni hii ya kwamba Wafanyie watu vizuri kama wewe unavyotaka wakufanyie,
Pia kuna aina ya Philautia, upendo wa mtu peke yake , sio upendo wa kichoyo , una sifa ya ndani ya kukufanya ujifunze kuwapenda wengine, na upendo huu ni mgumu ambao ni wa kujifunza kwa muda mrefu, upendo ni wa kujilinda na mashambulio yanayotokana na vitendawili vingi , kuacha kujilaumu, na ni matokeo ya kuacha kuwalaumu wengine. Ukijua huu na kuuruhusu ndani yako utajipenda na kuwapenda wengine.
Aina nyingine mbili ambazo ningependa kuziongeza ni Forgiveness na Faith. , kusamehe wale wote ambao wamewahi kukuumiza katika mapenzi. Au mwingine yeyote. Na Imani ya kwamba huu sio mwisho  na hicho kitu kikubwa kipo ambacho hakielezeki. Upendo wa Mungu.
Haya ndio mafunzo yangu leo kutokana na mapenzi , yaliopotea na wale waliofiwa— na wanahisi kwamba hawana njia nyingine tena ya kuwa na upendo.
Upendo upo, mapenzi yapo.
Umependa hii makala? washirikishe wengi wajifunze.

Maoni