ARSENAL YAKUBALI KUMUACHIA SANCHEZ AENDE MAN CITY, LAKINI MASHARTI YAO SASA...



Arsenal sasa iko tayari kumuachia Alexis Sanchez aende Manchester City.

Lakini sharti lake ni kulipwa pauni milioni 70 na mshambuliaji Raheem Sterling.

Awali, Man City ilikuwa kutoa pauni milioni 50 na Sterling. Lakini Kocha Arsenal Wenger akasema watoe fedha hizo pamoja na mshambuliaji Kun Aguero, Man City nao hawakukubaliana nalo.

Hata hivyo kinachoonekana baada ya muda klabu hizo zitaelewana kabla ya dirisha kufungwa kesho saa sita usiku.

Maoni