AZAM FC YAFANYA MAZOEZI YA KWANZA MJINI KAMPALA,UGANDA JIONI YA LEO

Baada ya mapumziko ya saa takribani tatu, kikosi cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC , kimefanya mazoezi ya kwanza mjini Kampala, Uganda jioni ya leo katika Uwanja wa Phillip Omondi.

Maoni