BREAKING NEWS: Mbunge wa Bunda mjini Esther Bulaya amelazwa katika

Mbunge wa Bunda mjini Esther Bulaya amelazwa katika Hospital ya Mjini wa Tarime kutokana hali yake kubadilika akiwa rumande katika kituo kikuu cha polisi alipokuwa amezuiliwa.
Mwenyekiti cha Chadema Wilaya ya Tarime Lucas Ngoto amesema Bulaya amelazwa kutokana na matatizo ya Kifua kubana.

Maoni