DIMPOZI AKINUKISHA, INSTAGRAM AMWAMBIA DIAMOND.............

Ile vita ya maneno kati ya Diamond Platnumz dhidi ya Ali Kiba na Ommy Dimpoz sasa imechukua sura mpya baada ya Dimpoz kutupa ‘dongo’ zito kuelekea kwa rafiki yake huyo wa zamani.

Baada ya wimbo wa Fresh wa Fid Q kutoka akiwashirikisha Diamond na Rayvanny, kuna mashairi ambayo yanasikika Diamond akimpiga dongo Ali Kiba ambaye alijibu kisanii kwa kumuita Diamond kuwa ni Malkia wa Nguvu.

Baada ya hiyo Diamond kupitia ukurasa wake wa Instagrama naye akajibu kwa kurekodi sauti akimshambulia kwa mashairi Ali Kiba huku ndani pia akimshambulia Dimpoz pia kisanii.

Muda mfupi uliopita, Dimpoz naye ameamua kujibu mashambulizi kwa kusema kuwa yeye ni baba yake na Diamond kisha akaweweka picha ya yeye Dimpoz akiwa na mama Diamond.

Mtiririko mzima wa Dimpoz kaandika haya:  

BARUA YA WAZI KWA BINTI YANGU MALKIA WA NGUVU

Salam zako nimezipata mwanangu Hivi kweli ww wa kukosa Adabu na kuamua kunichamba mimi Baba yako? Sasa kosa langu mimi nini?😭😭😭 Kwani kuna Ubaya kumtandikia Kitanda Baby wako King? 

#UnanioneaKwaKuaSijuiKurap😭

#SijuiNaMimiNimkatae🤔🤔

#KamaYeyeAlivyomkataaWaMobeto

#YaniUnamkataaMjukuuWangu😭😭

#UnakubaliKuleaWatotoWa5SioWako

#UmerogwaWWSioBureMwanangu

#NilikuwaNajuaNimezaaSIMBA

#KumbeNimezaaKIMBA

#DavidoNaeAnalalamiKuhusuENEKA

#UmeletaJanjaJanjaKwenyeFallOnU

#NnaedhalilikaMimiBabaYaKo😭😭

#UtakujaKuniuaKwaPreshaJomoniiii😭

#HayaNendaKatungeVesiNyingine😜

#RahaYaVitaUsichagueSilaha

#BABAMALKIA.

Maoni