Faida 27 za tikiti maji kiafya

Tunda hili lina faida nyingi pamoja na kuwa ni chanzo kikuu cha Protini, Mafuta, Nyuzinyuzi, Wanga, Calcium, Phosphorus, Chuma,Vitamin A, B6, C, Potasium, Magnesium, Carotene, anthocyanins na Virutubisho vingine vingi.
Tunda hili linasaidia kuwa na uwezo mkubwa wa kuimalika kwa misuli na mfumo wa fahamu kufanya kazi zake vizuri na kukuondoa katika hatari ya kupatwa na shinikizo la juu la damu.
Faida 27 za tikiti maji kiafya
1. Asilimia 92 yake ni maji
2. Vitamini A ndani yake huboresha afya ya macho
3. Vitamini C ndani yake huimarisha kinga ya mwili
4. Huponya majeraha
5. Hukinga uharibifu wa seli
6. Huboresha afya ya meno na fizi
7. Vitamini B6 husaidia ubongo kufanya kazi vema
8. Hubadilisha protini kuwa nishati
9. Chanzo cha madini ya potasiamu
10. Husaidia kushusha na kuponya shinikizo la juu la damu
11. Hurahisisha mtiririko wa damu mwilini
12. Huondoa sumu mwilini
13. Huongeza nguvu za kiume hasa ukila pamoja na mbegu zake
14. Tunda zuri kwa mwenye Kisukari aina ya pili
15. Husafisha figo
16. Huzuia na kutibu kansa mbalimbali
17. Tunda zuri kwa mwenye ugonjwa wa moyo
18. Huzuia na kutibu pumu
19. Hutibu tatizo la kufunga choo
20. Hufanya ngozi ing’ae
21. Huhamasisha kuota nywele
22. Husaidia kupunguza uzito
23. Huimarisha mifupa
24. Husaidia kuponya vidonda na majeraha
25. Huzuia madhara yasitokee katika seli
26. Huzuia ugonjwa wa baridi yabisi ya moyo (heart stroke)
27. Hutibu kiseyeye (scurvy)
Unakula tikiti maji kila siku?

Maoni