Gadiel Michael sasa rasmi,Jangwani

rasmi sasa aliye kuwa Beki wa kushoto wa Klabu ya Azam Fc Gadiel Michael amejiunga na Mabingwa wa Ligi kuu soka Tanzania Bara Young African.

Maoni