Je, ni kweli kwamba mwanamke akikaa muda mrefu akiwa bikira ni shida sana kuvunja kizinda akijamiiana kwa mara ya kwanza ?

Ile ngozi ndani ya uke i inabakia kuwa nyembamba na laini sana , hata mwanamke akiwa bikira katika umri mkubwa i inaweza kuchanika . Kwa hiyo hamna haja ya kuwa na wasiwasi wa kutoweza kuvunja kizinda ukisubiri muda mrefu kabla ya kujamii ana kwa mara ya kwanza .
Soma zaidi mada kama hii kupitia 📕Kitabu cha SIRI ZA MWANAMKE

Maoni