JE, UMESHAWAHI KULA MCHELE FEKI WA PLASTIC TOKA CHINI?!! WAJUA MADHARA YAKE???

Kuna Mchele Unaitwa MILAGROSA DYNE SUPER RICE Ambao Unasambazwa Toka China.
Mchele Huu Ambao Umethibitika Kuwa Una Madhara Ktk Mwili Wa Binadamu. Mchele Huo Unatengenezwa Kwa Kutumia Chemikali Kali Zinazotengeneza Plastic.
Kwa Kifupi Mchele Huo Ni Wa Plastic Na Haufai Kwa Kula. Huwezi Kuutambua Kwa Macho Zaidi Ya Kuuloweka kwenye Maji. Mchele Huo Ukilowekwa Kwenye Maji unachukua muda kiasi kuzama ktk maji na kulowana.
Mchele Huo Ulianza Kusambaa Nchi Za Sudan, Somalia Na Ethiopia Kipindi Kile Cha Njaa. Na Sasa Inasemekana Mchele Huo Huenda Upo Ama Ukaanza Kuuzwa Tanzania Pia.
Mchele Huo Una Madhara Mengi Katika Mwili Wa Binadamu Ikiwa Ni Pamoja Na Kutengeneza Kansa Ya Mishipa Ya Damu Na Kuharibu Mfumo Mzima Wa Mzunguko Wa Chembe Chembe Nyeupe Mwilini Ambayo Kwa Baadae Mwili Huvimba Na Kuanza Kutoa Wadudu Wa Ajabu Ajabu Kama Funza Mwilini.
Inachukua Takribani Miezi Tisa Kugundua Una Tatizo Hilo Kwani Wale Wadudu Hukua Taratibu Sana Na Sio Rahisi Kuwaona Wala Kuwahisi Mpaka Wanapokuwa Wakubwa Na Kuanza Kukutembea Mwilini Na Eneo Walipojipenyeza Huvimba Kama Jipu.
Tunatakiwa kuwa makini tunapo enda kununua bidhaa kama mchele super market.

Maoni