JE WAJUA NI JINSI GANI WANAWAKE WANAVYOSABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME:

Kuna baadhi ya wanawake huwaharibu
#kisaikolojia wapenzi wao. Kuna mambo mengi huchangia upungufu wa nguvu za kiume na wanawake ni miongoni mwao.
1. # KAULI
•Miingoni mwa mambo ambayo mwanaume hataki kuyaskia yakitoka kwenye kinywa cha mwanamke wakiwa faragha ni kuambiwa "HUWEZI KAZI KWENYE TENDO LA NDOA"
Mwanamke akimwambia mwanaume wake wakat au baada,ya tendo kuwa hawezi atakua amemsababishia tatazo kubwa la kisaikolojia ambako litamfanya kuwazia na,kukosa raha na ujasiri na kuona bas ww utakua msaliti tu au kunamtu anakukuna vzur zaidi yake na kumfanya apoteze nguvu za kiume taratibu yan hata kama utata aendelee kusex atashindwa kutokana na mawazo ya maneno yako.
2. # UJUZI
•WANAWAKE wengi hasa walio kwenye ndoa huwa wanapunguza ujuzi na utundu wao kwenye tendo la ndoa, hawajishughulishi kumsaidia mwanaume "kuwika" yani mwanaume akimaliza "haja" yake tu nao wanageukia upande wapili na kujilalia wakat hapo jukum lake ni kucheza na hisia za mpz wake kama kushika na kumchezea ili bakora isimame tena aweze kuendelea
Si wabunifu na watundu, jambo ambalo humfanya mwanaume husika kushiriki tendo kwa kutegemea kupanda kwa kas zake mwenyewe,
Hasa ukiwa bubu unapunguza mwanaume wako kutokujiamini na kupoteza uwezo wa kufikiria raha zako kwan anahsi hakufkishi
Wengi wenu mnasubir kubadilishwa mikao ila nyie sio wa kwanza kusema hivyo kua hii naipenda hii siipend
Kimtazamo wanaume hupenda sana ushindi wakat wa kusex lakin pale anapogeuzwa "chekechea" hupunguza uwezo wa kujiamini na kuruhusu hofu kuongezeka moyon mwake hvyo husababisha tatzo la upungufu wa nguvu za kiume.
3. # USAFI
•Kwenye mapenzi mwanamke anapokua sio msafi anapunguza ile shauku na hamasa ya kufanya mapenzi, huweza kumsababishia matatzo ya nguvu za kiume
huwez kumueka mpz wako huru na atakua hakufanyii maandalizi ya kutosha kama unatoa harufu, pia hawez kufurahia zaid atafanya tu amalize
Hata kama unaharufu isyoisha hata ukijisafisha, zpo njia nyingne za kutumia na usimkere mpz wako, tumia manukato, udi na uban kufukiza eneo la tukio, kata nyas za kiwanja cha mchezo ili mikwaruzo isitokee
Sote tunafaham mapenz ni "uchafu mtamu" usiyafanye yakawa machafu utamkinaisha na kumtoa "mood" ya kusex mpenzi wako.

Maoni