JESHI LA POLISI MKOANI DODOMA

Jeshi la polisi mkoani dodoma linawashikilia watu 11, kutokana na tuhuma za mauaji ya mwanamke mmoja aliye fahamika kwa majina ya mariam saidi mwenye umri wa miaka 17,mkazi wa kigoma aliyeuawa kwa kukatwa shingo na kutenganishwa na kiwiliwili kisha kichwa chake kuchomwa moto.

Maoni