KLABU ENGLAND KUPIGA KURA KUAMUA TAREHE YA MWISHO YA KUHAMA KWA WACHEZAJI Soma zaidi hapa

KLABU za soka nchini England zinajadiliana kuhusu pendekezo la kufungwa kwa soko la kuhama wachezaji kabla ya kuanza kwa msimu ujao kipindi cha sasa cha kuama kwa wachezaji kitafikia tamati ni Agosti 31 Agosti wiki tatu baada ya kuanza kwa ligi ya Premier. Kula inatarajia kupingwa wakati wa mkutano wawashika dau utakaofanyika Septemba 7 mwaka huu. Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp na wa Wansea City Paul Clement ni kati ya weale wanaotaka kuwepo mabadiliko. Sheria za FIFA zabnasema kuwa mda wawachezaji unastahili kufungwa Septemba mosi swala hilo limekuwa tatizo kwa baadhi ya wachezaji wa kutegemewa ambao wanatarajiwa kuama klabu wakiwemo Virgil Van Dijk wa Southampon, Gylfi Sigurdsson wa Swansea na Ross Barkley wa Everton. “Hali nzuri ingekuwa iwapo tarehe ya mwisho ya kuhama ingekuwa kabla ya kuanza kwa msimu,” Clement alisema. “Tarehe ya mapema ya kufungwa msimu wa kuhama ingetusaidia mwaka huu,” amesema Klopp.

Maoni