Klabu ya Southampton imeafikiana makubaliano na Klabu ya Juventus juu ya uhamisho wa pauni Milion £16 kwa Mario Lemina na kulingana na kiwango cha Lemina Kama kikiwa kizuri thamani yake itafikia mpaka £20

Klabu ya Southampton imeafikiana makubaliano na Klabu ya Juventus juu ya uhamisho wa pauni Milion £16 kwa Mario Lemina na kulingana na kiwango cha Lemina Kama kikiwa kizuri thamani yake itafikia mpaka £20 na anatarajiwa kupatiwa vipimo vya afya siku ya Jumatatu ya kesho.

Maoni