Maadhimisho ya siku ya mkulima,kitaifa yanafanyika kanda ya kusini.

Leo ni kilele cha maadhimisho ya siku ya mkulima ambayo yanafanyika kila ifikapo tarehe 8/8 kila mwaka ,Kwa mwaka 2017 Kitaifa yanafanyika kanda ya kusini katika viwanja vya ngongo mkoani LINDI.
Na mgeni rasmi wa siku hii ni makamu wa raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania MAMA SAMIA SULUHU HASSANI na ameshawasili toka jana katika mkoa wa LINDI .
kauli mbiu ya mwaka 2017 ni
ZALISHA KWA TIJA ,MAZAO NA BIDHAA ZA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI ILI KUFIKIA UCHUMI WA KATI.

Maoni