MAMA SAMIA SULUHU MGENI RASMI WA MAATHIMISHO YA SIKUU YA WAKULIMA,WAFUGAJI NA WAVUVI.

Wakati maonesho ya Sikuu ya Wakulima, Wafugaji, na Wavuvi maarufu kama 'Nane Nane' yakitarajiwa kuhitimishwa rasmi leo katika maeneo mbalimbali hapa Nchini huku Kitaifa yakifanyika katika Viwanja vya Ngogo-Lindi ambapo Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Hajjat Mama Samia Suluhu Hassan.
>>>Kutoka katika Mtaa wa Ndolo Wakazi wake haswa Wakulima, Wafugaji na Wavuvi wamelalamikia masharti yasiyotekelezeka kwa Mtanzania mwenye maisha ya chini kabisa hasa pale wanapohitaji mikopo pamoja na upatikani usio wa uhakika wa Vifaa vya kutunzia Maji safi na salama.

Maoni