MCHUNGAJI AFUMANIWA NCHIN KENYA

Mchungaji mmoja huko Kenya, aliyefahamika kwa jina la Timothy Wanyoike mwenye umri wa miaka 40 afumaniwa akifanya mapenzi na Binti aliyetambulika kwa jina la Scholar Kariuki mwenye umri wa miaka 21. Taarifa zinasema fumanizi hilo limefanywa na mume wa binti huyo bwana Kariuki Macharia. Mume wa binti huyo amesema alikuwa akihisi uhusiano baina ya wawili hao kwa kindi cha miaka 4 iliyopita.

Maoni