MGOGORO WA ARDHI HALMASHAURI YA WILAYA YA MPANDA MKOANI KATAVI

Wananchi wa kitongoji cha Mnyamasi, kata ya vikonge wilaya ya Tanganyika wameiomba serikali kutokuwahamisha kwenye maeneo yao ili waendelee kujikimu kupitia kilimo.

Maoni