Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini Fortunatus Muslim, amezifungia leseni za madereva saba wa magari za baada ya kubaini wamekiuka sheria za nchi ikiwa ni pamoja na kusababisha ajali mbaya na vifo.
Kamanda Muslim amesema leseni za madereva hao zitafungiwa katika kipindi cha miezi sita, mpaka watakapojirekebisha utendaji wao na kutii sheria bila shuruti.

Maoni