MWALIMU AFUNGWA KWA KOSA LA KUFANYA MAPENZI NA MWANAFUNZI DARASANI.

Mwalimu (31) amefungwa kwa miaka 10 kwa kosa la kufanya mapenzi na mwanafunzi (15) wakiwa darasani, Oklahama, Marekani. Ametakiwa pia kulipa $1M kama fidia. Aidha shule anayotokea mwalimu huyo imesema itatoa $125,000 ili kutuliza sakata hilo kwa familia ya mtoto huyo wa kiume, kutokana na kugomea kiasi kilichodaiwa na familia hiyo kwa kuwa ni kikubwa.
Chanzo: FOX NEWS

Maoni