PSG YAKUBALI KUTOA MAMILIONI IMNASE MBAPPE KUTENGENEZA FOWADI YA LIGI YA MABINGWA


Paris Saint-Germain's iko katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa mshambulizi wa Monaco, Kylian Mbappe.

PSG imekubali kutoa pauni million 166 ikiwa ni  siku chache tokea itoe pauni million 198 na kuweka rekodi ya usajili kwa kumnasa Neymar kutoka Barcelona.

Lengo la PSG ni kupata kikosi imara kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ambacho kitangozwa na Mbappe, Neymar na Edinson Cavani.

Maoni