RONALDO ASIMAMISHWA MECHI 5 KWA KUMSUKUMA MWAMUZI

Cristiano Ronaldo amesimamishwa kucheza mechi tano baada ya kupatikana na kosa la kumsukuma mwamuzi katika mechi ya Spanish Super Cup dhidi ya Barcelona.
Ronaldo alimsukuma mwamuzi Ricardo de Burgos Bergoetxea mara baada ya kumlamba kadi ya pili ya nano iliyozaa nyekundu.
Ronaldo pia amepigwa faini ya pauni 2,700 kutokana na kitendo hicho.

Maoni