Sifa 10 za mwanamke wakuoa, Je uliyenae anazo???

1. Mpenzi wako akija kwako na akakakuta unakula ugali na kach na akaamua kula nawe..huyo mu
2.ukienda nae hotelini akaamua ugali dagaa na maji tu...muoe an uchumi.
3.Mdada ambaye akimuona mka mwingine anaendesha Land cruis wewe una vitz yako Number A la akaamua kuja kwako...usimuach
4.Mwanamke akikutembelea kwa akakuta nguo zako chafu akafua mpaka za wadogo zako, huyo mk usimuache!
5. Mwanamke unampa sh elfu ta akafanye shopping sokoni anakur chenchi..huyo usimuache...anaju bajeti na muaminifu.
6. Ukimpata mwanamke ambaye anakupigia simu na kukuuliza ka anaweza kukutumia credit au hel lunch, au anakupa pocket money nyingine, huyo tangaza ndoa fast
7.Mwanamke ambae anakupa pa ya benki,laptop, simu na emails huyo ni zaidi ya malaika.oa haraka..watamgombania wenzak
8.Ukipata mwanamke ambaye m daldala analipa nauli au mkitoka analipia bill ya chakula na vinywaji...huyo usimuache! anaju wa wana ndoa!
9.Ukimpata mwanamke ambae mnapokula, yeye anachagua mifu minofu anakuachia wewe, huyo usimuache...oa fastaaa... anajali a yako!
10. Ukipata mwanamke ambae ki ukimuuliza angependa umletee n ukirudi toka kazini, lakini yeye anakwambia hahitaji kitu ila anat urudi salama, huyo ndio mke...si siku unatumwa chips na kuku!
Share

Maoni