Taadhari juu ya unywaji wa Energy Drink

TAADHARIKWA HIKI KINYWAJI.SOMA HADI MWISHO NA NUSURU NDG YAKO.MUHIMU KWA MUSTAKABALI WA AFYA YAKO, SOMA.. USIPUUZE.!!
Azam Company ni kampuni inayorisha watanzania na nchi nyingi kusini mwa jangwa la sahara..Mzee wetu huyu amekuwa msaada mkubwa kwa Watanzania na nchi jirani zinazituzunguka, kupitia huduma mbali mbali anazotoa kuanzia usafiri wa majini, vyakula hata vinywaji..Sitasita kumpongeza mzee wetu kwa huduma zako na mungu atakulipa kwa hili..Kilichonifanya nikujadili hapa mzee ni hiki kinywaji chako kipya, watanzania wamekipokea na wanakitumia sana, kifupi kinauzika huu ndio ukweli..Na mimi kama miongoni mwa wateja wake nikajaribu kukionja kutaka kujua kina Ladha gani kinywaji hiki??!!Kinywaji hiki kinaitwa#ENERGY_DRINK Baada ya kufungua na kuonja kwa mara ya kwanza kilinishinda, nikajikuta navutiwa kusoma kimeungwa kwa kutumia viungio gani {Ingredients}, hiki nilichokiona ndicho Kilichonifanya niandike haya.Malengo sio kuharibu biashara yako, La.!! Ila ni kuwajuza watanzania ambao wengi wetu lugha iliyotumika hapa ni changamoto kuijua, Lakini pia wengi wetu huwa hatuna utamaduni wa kusoma hivi vibandiko kabla ya kutumia..
NINI NILICHOKIONA NA KIKANISHITUA?? HIKI HAPA..!!{1} INGREDIENTS (Viungio)Water sugar, Carbondioxide, Citric acid (E330), Taurine, Acidity Regulator, Sodiumcitrate E331, Colour plain, Caramel E150a, #CAFFEIN , Inositol, Preservative pottasium sorbate E202, Flavouring, Niacin, Pantothenic Acid, Vitamin B6 & Vitamin B12.....Baada ya kuandikwa hivi viungia, Ukiangalia katika chupa hii kilichofuatiwa ni muda wa matumizi, na mahali kinapozalishwa.Lakini bado sikupata mantiki kwanini kimekuwa kikali mno kwanini??!!!!GHAFLA katika kudadisi zaidi ndipo chini ya maandishi hayo nikakuta maandishi mengine mapya tena yemewekwa juu ya wino#MWEKUNDU kuashiria TAHADHALI maandishi haya yameandikwa katika lugha ya KIINGEREZA Yanasomeka hivi...High caffein content {31.5mg/m100}, Taurine {0.03%}.. Do not drink more than two bottles per day,Not suitable for persons sensitive to caffein, Children, Pregnant, Breast feeding women, and Avoiding Drinking before Sleeping...TAFSIRI YA MANENO HAYA KWA TUSIOJUA..!!Ina kiasi kikubwa cha Caffeine, Usinywe zaidi ya chupa mbili kwa siku, Haifai kwa watu wenye matatizo ya CAFFEINE, Haifai kwa watoto, wajawazito, wana mama wanaonyonyesha,na mwisho usitumie kinywaji hiki muda mfupi kabla hujaenda kulala.. # Kwanini Usinywe muda mfupi kabla hujaenda kulala..??!! Kiwango cha 31.5mg/ml100 za caffeine ni nyingi kwa matumizi ya kawaida kuna hatar ya#Blood_Pressure ukiwa usingizini na hatimae ukapoteza maisha hivyo ni hatari kunywa wakati unakwenda kulala, Ina athiri ubongo pia kwa watoto na hata watu wazima, kwa wajawazito, na kwa wanaonyonyesha,...SASA MZEE WANGU BAKHRESSA ni watanzania wangapi kinywaji hiki pasipo kujua?? Kuna wajawazito, watoto, wazee, wote wanakibugia tu hawajui kinachoendelea katika kinywaji hiki mzee..Hakuna kinywaji ambacho ni CARBINATED kisichokuwa na CAFFEINE, hii inajulikana lakini mzee HIKI KIWANGO CHA {31.5mg/100ml} ULICHOWEKA HUMU NI KIKUBWA MNO.. Sina hakika lakini inawezekana kikapita hata kiwango cha Kwenye#HEINKEN.. # CAFFEIN_DRINKS kuna baadhi ya nchi kama UFARANSA, MAREKANI, na HISPANIA na UINGEREZA wamepiga marufuku kutokana na athari zake hasa katika ubongo,..Hakuna shaka mzee baada ya muda mfupi wa matumizi ya kinywaji hiki WATANZANIA WENGI hasa kina mama na watoto na hata wanaume watapata matatizo haya..€Mfumo wa ubongo kuathirika hili halina shaka,€Vidonda vya tumbo.€Kwa wanamama wajawazito wanaobugia pia kunauwezekano mkubwa wa kuzaa watoto wenye matatizo hasa AKILI kutokana na UBONGO KUATHIRIWA, wanaonyonyesha pia..Mzee kama ujumbe huu utakufikia naomba TUONDOLEE JANGA HILI maana haya matatizo tuliyonayo yanatushinda Watanzania wengi WATAUMIA SIKU ZIJAZO na hazipo mbali..Ninawapenda sana rafiki zangu ndio maana nimewaletea somo hili kwa manufaa ya AFYA zenu na za wale mnaowapenda.

Maoni