Waafrika wazidi kunukia, Ligi kuu ya Uingereza

Ni kijana wa miaka 25 beki toka Ghana, Andy Yiadom anatakiwa na klabu ya Huddersfield Town ya nchini Uingereza. Kocha wa Barnsley, Paul Heckingbottom amesema kwa sasa hawezi kumtumia mchezaji huyo katika kikosi chake kwakuwa yuko kwenye mazungumzo na timu hiyo mpya ya ligi kuu ya Uingereza (EPL)

Maoni