Yahaya awapa raha na matumaini mashabiki wa AZAM FC baada ya kutupia goal mbili,dhidi ya URA

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Ghana,Yahaya Mohammed,ameing'arisha azam fc kwenye mech ya kirafiki dhidi ya URA kwa kupachika magoal mawili, Yahaya alipachika goal la kwa mnamo dakika ya 19 kwa shut kali lilomshinda golkipa wa URA na kuiandikia azam fc goal la kwanza, amba limedumu kwa kipindi chote cha dk 45 cha kwanza, na mnamo kipindi cha pili dk 47 Yahaya akaindikia azam fc goal la pili kwa shuti kali nje ya 18 na magoal ayo yalidumu kwa kipindi chote cha dk 90,Azam fc kuibuka na ushindi wa goal 2-0 dhidi ya Ura.

Maoni