Yanga yafanya balaa lingine, usjili wa mwaka huu kimya kimya.......

Kiungo Papy Kabamba Tshishimbi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na mabingwa wa Tanzania, Yanga SC.
Mchezaji huyo alikuwa nchini Tanzania wiki iliyopita kwa ajili ya vipimo vya afya na baada ya kufaulu na kwenda kufuata barua ya kuruhusiwa na klabu yake, Mbabane Swallows ya Swaziland kuondoka ili kusaini mkataba mpya.

Maoni