AZAM FC NA TRANS CAMP KATIKA PICHA JANA CHAMAZI

Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akiwaacha kwa ustadi wa hali ya juu wachezaji wa Trans Camp katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam ilishinda 8-1

Winga Mghana wa Azam FC, Enock Atta Agyei akimtoka beki wa Trans Camp 

Mshambuliaji wa Azam FC, Mbaraka Yussuf akimtoka beki wa Trans Camp 

Mshambuliaji Mghana wa Azam FC, Yahya Mohammed akimtoka beki wa Trans Camp 

Winga wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' akimiliki mpira jana Uwanja wa Azam Complex 

Beki Aggrey Morris akiwa mwenye furaha kufuatia kusaini mkataba mpya wiki hii.

Maoni