Rais wa TFF, Wallace Karia ameteua Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu Bara

Rais wa TFF, Wallace Karia ameteua Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu Bara ambayo itakuwa inachagua wachezaji bora wa mwezi, bao bora, mwamuzi bora, kocha, kipa bora na mchezaji bora wa msimu.

MWENYEKITI
Msafiri Mgoyi

Makamu Mwenyekiti
- Almas Kasongo 

KATIBU MKUU
-Amiri Mhando

WAJUMBE
Saleh Ally
Patrick Kahemele
Kenny Mwaisabula
Ibrahim Masoud
Fatma Likwata
Gift Macha
Said George
Zena Chande

Maoni