R.I.P CHOGO

TANZIA: "Uongozi na wafanyakazi wa E-fm, TV -E kwa majonzi na masikitiko tunatangaza kuondokewa na mwanafamilia mwenzetu Dennis Rupia (Chogo) aliyefariki Dunia baada ya kuugua kwa kipindi cha muda mfupi. Tutaendelea kufahamishana taratibu za kumpumzisha mpendwa wetu kupitia vyanzo mbalimbali. Hakika ni kipindi kigumu kwetu, wasikilizaji wa Redio na familia kwa ujumla tuendelee kumuombea mpendwa wetu. #PumzikaKwaAmaniDennis

Maoni