TANZANIA 2- 0 BOTSWANA KUTOKA UWANJA WA UHURU, MSUVA AMETUPIA BAO ZOTE 2


FT:  Mpita umekwisha Tanzania 2- 0 Botswana, Mabao yote yamefungwa na  Simon Msuva dakika ya 20, dakika ya 60

Dakika zimeongezwa 4 , Stars 2 Botswana 0. Mabao yakifungwa na Simon Msuva dakika ya 20, dakika 60

Dakika ya  90 + 4 Botswana wanaendelea kuchuana na Taifa Stars

Dakika ya 88 Botswana wanashambulia na kukosa bahati 

Dakika  87 Mabadiliko Stars inamtoa mchezaji, Khamisi Abdallah anaingia Said Ndemla, Mbwana Samatta anatoka anaingia Elius Maguli Simon Msuva ametoka

Dakika ya 85 Timu zote zinashambuliana kwa zamu bado Botswana wapo nyuma bao 2- 0

Dakika ya 89 Mshambuliaji wa timu ya Botswana anakosa bao yeye na kipa

Dakika ya 84 Taifa Stars wanashambulia wanakosa kufunga

Dakika ya 82 Msuva anatafuta bao la tatu anakosea

Dakika ya 77' Tanzania bado wanaongoza bao 2- 0 huku timu ya Botswana wakishambulia lango letu

Dakika ya 65' Tanzania 2-0 Botswana ⚽⚽Msuva

MAPUMZIKO

Dakika ya 46 Stars 1 mfungaji Msuva, Botswana 0, Dakika 3 zimeongezwa kuelekea mapumziko

Dakika ya 28' Tanzania 1-0 Botswana ⚽Msuva

Dakika ya 8' Tanzania 1-0 Botswana

Dakika ya 1 mpira umeanza timu zote zipo vizuri

.

Maoni