Asya Utamu "Usitujadili kwa machao niviumbe mashuhuri"

Mwimbaji wa Taarabu,Asya Utamu ameandika maneno ayo kwenye ukurasa wake wa facebook baada ya kuachia cover ya wimbo wa Aslay Rudi   "nachukua fursa hii kumshukur mungu ikiwa bado tunapumua" kisha akaendelea kwa kuandika "ebuanaee hivii hapana vyuma viwili usipime usitujadili kwa macha niviumbe mashuhuri kwa uimbaji wanajua kucheza na saut zao sasa uso kwa uso Asya Utamu nimepiga cover ya wimbo wa Aslay uitwao RUDI itafute sasa utoe comments zako"

Maoni