"Nimejipanga kuwainua wasanii"-Mgonja

Ni kauli ya Mr Gerarld Mgonja ambaye ana simamia Mgonja Entertainment ametoa kauli iyo  baada ya kutambulisha cover ya show itakayo fanyika tarehe 28/10/2017 kwenye ukumbi wa BAND NIGHT ameseme "Nimejipanga kuwainua wasanii kwa uwezo na nguvu zangu zote lengo langu ni kuibua vipaji na kuendesha ingawa najua kuna changamoto nying sana unapo amua kuwainua wasanii wachanga rakini binafsi nimejipanga kuzishinda changamoto zozote nitakazo kutana nazo" mwisho kabisa amemalizia kwa kusema "mwishoni mwa mwaka huu watanzania watarajie makubwa sana toka mgonja entertainment maana tumejipanga vya kutosha kwa kuwapa kazi nzuri na show za kutoa ivyo wadau wetu wajipange" baada ya kuyasema ayo Mr Mgonja pia ameomba wasanii kuwa wamoja na kuwa na mshikamano kwenye kuanda kazi na kusapotiana.

Maoni