MAAFA YA MOTO YAKIENDELEA KUACHA VILIO KWA WANAMAKETE

Moto ukiendelea kuteketeza miti ya watu katika kijiji cha Mago wilayani Makete mkoani Njombe hii Leo
Hakukuwa na mtu hata mmoja aliyekuwa akizima moto huo jambo linalohisiwa linatokana na watu kuchoka kuzima moto huo bila mafanikio.

Maoni