MANARA KAMA AJIBU KASHUSHWA NA MUNGU OKWI KAJIUMBA MWENYEWE

Manara ameyasema ayo kupitia ukurasa wake wa Instagram
Nukuu "Always huwa nawapongeza sana Azam TV kwa kazi yenu nzuri iliotukuka,,ila leo (jana) mmemweka komandoo kumsaidia Mpenja,,anasema Ajibu kashushwa na Mungu,kwan kuna bnadaamu kashushwa na Shetani?ni kufuru kwa imani ya dini zote,,zuieni makomandoo kutangaza mpira,,Okwi c angesema kajiumba mwenyew? @azamtvtz" -Hajjsmanara

Maoni