MWANAMKE TUMIA SILAHA YA KANGA KATIKA KUONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA

Maranyingi wanaume wamekuwa wakiwekwa
kwenye wakati mgumu sana pale wanapowaona
wanawake wakitoka kuoga kwani mara nyingi
huwa wamevaa mavazi ambayo kiukweli
humfanya mwanaume ashikwe na ashiki pale
amwonapo mwanamke huyu.
Waweza kumkuta mwanamke kavaa kijipande tu
cha taulo ambacho hufungwa juu ya maziwa na
hivyo kufanya chini kuwa fupi matokeo yake
mapaja yake,umbo la kalio lake na mistari yake...
ya utamu iliyopo nyuma ya magoti yake vyote
viwe halali ya macho yako, na hapo ndipo
mwanaume unakoma kukodoa hilo jicho lako.
Au wakati mwingine huweza kukutana na balaa
zaidi pale mdada mrembo mweupe au hata
mweusi mwenye ngozi lainii pale atokapo bafuni
kuoga akiwa amevaa kanga iliyoloa maji maji na
mbaya zaidi asogee pembeni kidogo na aanze
kusugua miguu kwenye jiwe lililopo karibu yake,
haki ya mungu wewe mwanaume utajuta
kuzaliwa.
Kiukweli mavazi yavaliwayo wakati wa kwenda
kuoga ni silaha kubwa sana ambayo huamsha
munkari wa mwanaume yeyote yule rijali,Hivyo
wewe kama ni mwanamke tambua kwamba
waweza kumpa hisia za pekee sana mumeo au
mpenzio kwa kumvalia mavazi haya pale uendapo
kukoga..!!!

Maoni