Shirika la afya duniani WHO limemteuwa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe kama......

'balozi mwema ' katika kusaidia kukabiliana na magonjwa yaliyosahaulika .
Akifafanua uamuzi wa uteuzi huo , Mkurugenzi mkuu mpya wa W.H.O., Dr Tedros Adha-nom Ghebre-yesus, alisifu namna Zimbabwe inavyozingatia afya ya umma.
Lakini wakosoaji wanasema katika kipindi cha miaka thelathini na saba ya utawala wa rais Mugabe, huduma za afya zimekuwa mbaya ambapo wahudumu wa afya wamekuwa hawalipwi mara kwa mara , na kumekuwa na ukosefu mkubwa wa dawa muhimu.

Maoni