TAULO ZA KIKE MASHULENI CHANGAMOTO KANGA NA MAGODORO YATUMIKA IMANI ZA KISHIRIKINA ZAWATESA WALIMU

'Wanafunzi wakike tunalazimika kutumia vitambaa vya kanga au hata magodoro tukiwa kwenye siku zetu pia changamoto nyingine wanafunzi wengine wanakosa masomo wakiwa kaatika siku zao kutokana na ukosefu wa taulo hizo kwa kuhofia kudharaulika shuleni'' mwanafunzi mwingine.

Maoni