Teknolojia ya matone kuinua wakulima

WAKULIMA wa mboga wilayani Same, wanatarajia kubadili mfumo wa maisha na kuwa wajasiriamali wakubwa kwa kuendesha kilimo bora cha umwagiliaji wa matone kwa teknolojia rahisi kwa watu wa kada zote. Kilimo hicho kinatumia dumu lenye maji na mipira midogo ya maji na kusambaza katika tuta la mboga lenye miche zaidi ya 80 ya mboga kama chinese, mnavu namchicha.

Maoni