USIKU WA NANI MKALI KATI YA BONGO FREVA NA SINGELI NDANI YA UKUMBI WA BANDI NIGHT CLUB BANANA MACHIMBO

Mgonja Entertainment inawaletea burudani wakazi wa dsm na viunga vyake,siku ya tarehe 28/10/2017 kwenye ukumbi wa BANDI NIGHT CLUB uliopo banana machimbo kwa sh 2000 tu na watu mia wa kwanza wataingia watatu kwa buku 2000 tu,wasanii watakao toa burudani siku iyo pamoja na
> Sdk Jinny
> Mario Bobo
> Mchidox
> Sholo Rapa
> Mudi Msanii
> Pideyzer
> Breezynation na wengine kibao,  usikose. 

Maoni