CHAMAZI,MICHEZO NI UTAMADUNI WETU kauri yake Ndg Muhunzi.

Mkuu wa Idara ya Michezo kata ya chamazi Ndg Muhunzi akiongea leo hii na blog yako pendwa shabanirapwiblogsport.com amesema Nukuu "Tumejipanga kuakikisha michezo kwenye kata yetu ya chamazi inakuwa kwa kiasi kikubwa,mikakati ipo ni mikubwa na endelevu nadhani baada ya kumalizika ligi ya rede kuna mashindano mengne yanakuja tupo kwenye majadiliano na baadhi ya wadau wa michezo kwenye kata yetu hii ya chamazi hususani vijana,ili kuwa na muamko wa kutegeneza mtandao wa michezo"  

Pia amegusia swala zima la miundo mbinu asa uhaba wa viwanja
Nukuu: Tatizo ni uhaba wa viwanja vya michezo vilivyokamika vipimo ila tutajitaidi hivyo ata kwa kuvitumia viwanja vilivyokuwepo" licha ya kuwa na miundombinu  haba  amezunguzia pia swala la jogngg ameseme "Kila jumapili ya mwisho wa mwezi jogngg zote za kata ya chamazi tunakutana ili kuwa na mahusiano na ushirikiano mzuri kwenye michezo kwenye kata yetu ya chamazi,pia napenda kuwapongeza ndugu zangu wa mzambarauni jogngg  kwa kupata mwaliko zanzibari na hii ni moja ya fursa na hamasa kwa vijana wetu"

Ndg Muhunzi amemalizia kwa kusema "Mimi na team yangu tumejipanga kuakisha michezo inakua na inakuwa kipaumbele kwenye kata yetu,kwa kushirikiana na wadau pamoja na viongozi,chamazi michezo kwanza.

Asante kwa kuendelea kufatila blog yangu wewe ni mtu mwimu sana kwangu.

Maoni