Harmonize kudondosha dude na

Harmonize kudondosha dude na Sarkodie Msanii wa muziki wa Bongo Flava kutoka label ya WCB, Harmonize ameingia location kufanya video na rapper kutoka nchini Ghana, Sarkodie. Muimbaji huyo ambaye anafanya  vizuri na ngoma ‘Shulala’ ambayo amemshirikisha Korede Bello kutoka Nigeria amezidi kuonyesha njaa ya kutusua kimataifa. Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram ame-share video fupi inayowaonyesha wakiwa location.

Maoni