Mtu na shemeji yake wapigana kisa kuitwa Shilawadu

Mtu na shemeji yake wakipigana hadharani maeneo ya kwa mkongo-Mbagara, Dar kisa kikidaiwa ni kuitwa SHILAWADU. KATIKA pitapita ya kamera yetu leo mtaani imewanasa mtu na shemehi yake wakipigana hadharani kisa kikidaiwa kuwa ni kuitwa SHILAWADU. Mtu na shemeji yake  hao walikuwa wakipigana maeneo ya Kwa mkongo -Mbagara, Dar ambapo walijaza watu ilidaiwa kwamba shemeji yake uyu alimwita SHILAWADU shemeji yake kaka wa mume wake kwenye utani utani walipo kuwa wanaongea mashuuda wa tukio ili wanasema mtu na shemeji yake uyo walikuwa wakiongea na kuanza ubishani ambao ulikuwa ukiusiana na mambo ya kifamilia ndipo mke uyo wa mdogo ake akamwita SHILAWADU shemeji yake kaka wa mume wake ndipo ugomvi ulipo anzia na kufikia hatua ya kupigana na kukunjana hadharani.

Maoni