Raila Odinga Asema kuwa Uhuru Kenyatta si rais wa Kenya

Kiongozi wa Muungano wa Upinzani Nchini Kenya(NASA), Raila Amolo Oginga Odinga amesema kuwa ataapishwa kuwa rais wa taifa hilo mnamo tarehe 12 mwezi Disemba na kuingia Ikulu rasmi.

Kauli hii ya Raila Odinga imekuja saa chache baada ya Rais Mteule wa Taifa hilo, Uhuru Kenyatta kuapishwa katika Uwanja wa Kasarani.

Asema kuwa Uhuru Kenyatta si rais wa Kenya hivyo yeye hatoapishwa kama kiongozi wa Upinzania Nchini Uganda, Kizza Besigye bali ataapishwa kama Emmerson Mnangagwa alivyoapishwa nchini Zimbabwe.

Maoni