SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) MABORESHO YA MIUNDOMBINU MKOA WA TEMEKE

Tunawataarifu Wateja wetu, wa Mkoa wa Temeke kuwa kutakuwa na maboresha ya miundombinu ya umeme kwa kufanya kazi ya Matengenezo kwenye kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Chang’ombe na Tandika.
Aidha, kazi ya kubadilisha nguzo zilizooza na kukata miti inayogusa njia za umeme inafanyika.
Siku ya Jumamosi Decemba 02, 2017
Muda kuanzia Saa 02.00 Asubuhi hadi saa 11.00 Jioni.
Kutokana na maboresho hayo baadhi ya maeneo yatakosa umeme ambayo ni eneo lote la Kigamboni, Eneo lote la Mkuranga, Yombo, Temeke, Tandika, Chang’ombe, Uwanja wa Taifa, Kanisa katoliki la Chang’ombe, Chang’ombe Polisi, Hospitali ya Temeke, ALAF, Steel Master, Kamal Steel, DPI Simba, PLasco ltd, Cello Industry, Vita Foam, TBC, Bora Industry, TTCL-Nyerere road, Superdoll, TCC, Hospitali ya Dargroup, Tanzania Printers, Serengeti Breweries, Nyerere Bridge, Tanzania Distillers, Ministry of Agriculture, livestock and Fisheries, Haji Suleiman, Maweni Industry, Darfresh Industry, Nyati cement, Tanzania rudar, District Commission office-Kigamboni, World oil, Tazama Pipeline, Tipper, Lake oil, Moil ltd, Sunrise Beach hotel, Avic town, Navy, Mwalimu Nyerere memorial Academy, NMB-kigambini, CRDB- kigamboni, Mihan Gas,
Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo:
Toa taarifa Dawati la dharura Mkoa wa Temeke 0712052720, 0788 499014, 0732997361, au Kituo cha miito ya simu namba 2194400 au 0768 985 100
Tovuti: www.tanesco.co.tz
Mitandao ya Kijamii
www.facebook/tanescoyetultd
twitter.com/tanescoyetu
Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.

Maoni