UVCCM CHAMAZI YAENDELEA KULETA BURUDANI KWA VIJANA

Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi umeendelea kuleta burudani kwa Vijana wa rika zote wanaoishi katika Kata hiyo.

Leo kunachezwa mechi ya kirafiki ya Mpira wa Miguu (CHANDIMU) na REDE.

Timu zinazopambana ni Gombela Queens na Mzambarauni Queens kwa upande wa REDE na Gombela Boys na Mzambarauni Boys upande wa CHANDIMU.

Mechi hizo zote zinachezwa katika Viwanja vya KWA GOMBERA Chamazi Dar es Salaam.

Matokeo ni kwa upande wa wanaume chandimu kati ya   mzambarauni na kwagombera wametoka sare ya 4-4 na kwa upande wa wanawake kati ya
youngs rede na kwagombera wameoka sare ya 1-1

Maoni