BAMIA NA DOVYA WATOKA SARE

Mchezo wa kirafiki uliochezwa jioni ya leo Dec 16 katika uwanja wa Bamia umemalizika kwa kwenda sare ya kufungana 1-1.

Mchezo huo ulikuwa kivutio sana kwa mashabiki waliojitokeza uwanjani hapo ambapo team ya Dovya Queens ndio wa mwanzo kupata bao lililofungwa na Zawadi Chaupe dakika 32.

Bamia Queens wakajipanga upya na wakafanikiwa kusawazisha bao ilo mnamo dakika za mwisho kabisa.

Mpaka dk 80 zinamalizika Bamia 1-1 Dovya B.

Pia hapo kisho Dec 17 kutakuwa na mchezo wa kukatana shoka kati ya MZAMBARAUNI QUEENS na KISEWE QUEENS majira ya saa kumi jioni kwenye uwanja wa mzambarauni.

Wachezaji wa Bamia Queen's 


Wachezaji wa Dovya B. 


Hawa ni baadhi ya mashabiki walio fika kutazama mchezo huu. 
Baadhi ya wadau wakubwa wa mchezo huu wa rede nao wakishudia mtanange uwo. 

Maoni