CHAMAZI YAPATA MDAU KUUNGA MKONO MAENDELEO

Singa Singa ameunga mkono utekelezaji wa Ilani ya CCM kwa kuchangia cement kwa ajili ya marekebisho ya mtaro wa barabara kuelekea maeneo ya federation mtaa wa Msufini kazi ambayo inaratibiwa vyema na M/Kiti wa Mtaa ndugu Msoma

Diwani Kata Chamazi Mhe Hemedi Karata akiwa na M/kiti wa Mtaa Msufini ndg Salumu Msoma wakipokea karatasi/risiti za malipo ya mifuko ya cement 50 kutoka kwa mdau wa Maendeleo kata chamazi ndg SINGA SINGA. 


Maoni