Hii ndio ratiba ya mech za kirafiki Rede 2017 /2018


Katibu wa IBUMA Ndg Ibrahim Bofu leo hii Dec 14 ametangaza ratiba ya mech za kirafiki za mchezo wa REDE kwa mwaka 2017 /2018 kabla ya kuanza kwa ligi ya UVCCM REDE CUP 2018,michezo iyo ya kirafiki itakayo anza kutimua vumbi Dec 16 mpaka Jan 03 2018.

Hii ndio ratiba 
Pia baada ya kuitangaza ratiba iyo Ndg Bofu ameziomba team zote kujianda kwa kufanya mazoezi na kufanya usajiri pale muda utakapo fika. 

Maoni